KARIBUNI SANA TUNATOA HUDUMA YA KUSINGA MABIBIHARUSI WATARAJIWA,WAMAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA NA WANAWAKE WOTE KWA UJUMLA.
SINGO YETU NI YA ASILI KABISA INAFANYWA NA WAMAMA WA KITANGA.
TUNASINGA KWA MASAA MAWILI 45,000/= KWA MTU WA KAWAIDA.DISCOUNT IPO KWA MABIBIHARUSI WATARAJIWA NA WAMAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA KAMA WATAFANYA SINGO ZISIZOPUNGUA NNE,KILA SINGO WATALIPIA 35,000/=(UTALIPIA SINGO ZOTE KWA WAKATI MMOJA AU NUSU YA IDADI YA SINGO UTAKAZOFANYA)
TUPO MSASANI KARIBU TUPIGIE
0713-878787
0659-997222
0654-450200
Monday, January 7, 2019
Wednesday, May 18, 2016
Mwali Singo Ndio Habari Ya Mjini
Tumia Mwali Singo Kufanyia facial Uso Wako Mara Tatu Kwa Wiki na Kuscrub Mwili Mzima Mara moja Kwa Wiki.Inasaidia Sana Kusafisha Ngozi,Kuondoa Madoa na Weusi Mbalimbali Mwilini.Itaifanya Nyozi Yako Inawiri na Kua na Muonekano Mzuri
Mwali Singo Inaweza Changanywa na Rose Water,Maziwa Fresh,Maji ya Limao,Maji ya Kawaida,Mafuta ya Nazi,Asali nk
Mwali Singo 10,000/=
Tupo Sinza Mapambano,Tunauza Jumla na Rejareja (0654-450200)(0753-643934)
Wednesday, March 19, 2014
Ng'ariNg'ari
Mawese Body Cream ni Cream iliyoandaliwa na mafuta ya asili ya mawese, inasaidia sana kung'arisha ngozi.Kwa wale walioharibika baada ya kutumia cream kali, cream hii ya asili itasaidia kuondoa wekundu na weusi wa machoni pamoja na michirizi iliyosababishwa na cream kali. kuna kopo Kubwa Elfu 20,000/= na Kopo Dogo Elfu 10,000/= Karibu Tupo Sinza Mapambano 0654-450200
Monday, September 16, 2013
Thursday, December 27, 2012
Yajue Mafuta mbalimbali ya kufanyia Massage(Yanapatikana EmC'sChoice Sinza Mapambano 0654450200)
Castor Oil
Almond Oil
Clove Oil
Coconut Oil
Olive oil
Mustard Oil
Herbals Hemani Oil
Sunflower Oil
Rose oil
Tuesday, October 30, 2012
7 Days Cabbage soup Diet
Here's a sample Cabbage Soup Diet plan:
Day 1: Cabbage soup and all the fruit you want except bananas. Drink unsweetened tea, black coffee, cranberry juice, or water.
Day 2: Cabbage soup, all the low-calorie vegetables you want (except beans, peas, or corn), and a baked potato with butter.
Day 3: Cabbage soup and a mixture of the above fruit and vegetables.
Day 4: Cabbage soup, up to eight bananas, and two glasses of skim milk.
Day 5: Cabbage soup, up to 20 ounces of beef, chicken or fish, up to six fresh tomatoes, and at least 6-8 glasses of water.
Day 6: Cabbage soup, up to 3 beef steaks, and unlimited vegetables.
Day 7: Cabbage soup, up to 2 cups of brown rice, unsweetened fruit juices, and unlimited vegetables.
A cabbage soup diet is a type of diet plan that involves eating one thing all day for the duration of the diet. That one food choice is cabbage soup. A person on a cabbage soup diet will eat either cabbage soup only or cabbage soup and very little else for the entire length of the diet. This diet is intended for those who want to shed extra pounds quickly.
There are many different recipes for the cabbage soup consumed as the focal point of the cabbage soup diet. For example, one recipe for cabbage soup includes cabbage, water, chicken soup flavoring, broth, or soup stock, seasoning, peppers, and onions. Along with this meal, which is typically consumed a couple of times per day, the dieter may eat fruits and vegetables. Plenty of water is encouraged, and milk is allowed as long as it's skim. On a couple of days per week, a dieter may be allowed to eat a small amount of lean meat, and a baked potato or rice side is allowed at least once per week.
According to proponents of the cabbage soup diet, dieters can lose about 10 pounds (4.53 kg) per week with this weight loss plan. However, they recommend following the diet for only one week at a time. If dieters want to try another week on this diet, it is best to wait a bit first.
Diet ya Siku 14
DIET HII NI YA SIKU 14,HAKIKISHA UNAFANYA MAZOEZI LISAA LIMOJA KILA
SIKU,HURUHUSIWI KUTUMIA KILEVI,SODA WALA MAFUTA UNAPOKUWA KWENYE DIET HII.NI
LAZIMA KUNYWA MAJI LITA MBILI KWA SIKU.CHAKULA CHA USIKU MWISHO WA KULA NI SAA
MBILI. Ndani ya Siku 14 unaweza kuondoa kilo 5-8, Pima uzito kabla ya kuanza
Diet hii.
DAY 1
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.
Breakfast: matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu.
Lunch: Glass moja ya mtindi.
Dinner: Mchemsho wa samaki wenye ndizi moja na kiazi kimoja
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 2
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kula apple moja na glass ya maziwa fresh
(skimmed milk)
Lunch: Kula papai kiasi upendacho na ma apple mawili
Dinner: Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 3
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kula supu ya cabage na mboga mboga kama
carot,hoho nk
Lunch: Kunywa glass2 za juice na mboga za majani mbali mbali
Dinner: Kunywa glass moja ya mtindi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 4
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kula tango moja na juice ma matunda yoyote
isipokua parachichi.
Lunch: Kula matunda kiasi upendacho. Papai ni muhimu sana
Dinner: Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi

DAY 5

Breakfast: Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na
yai moja la kuchemsha
Lunch: Kunywa glass moja ya mtindi
Dinner: Sausage 2-3 za kuchemsha na juice glass moja

DAY 6

Breakfast: Maziwa fresh na mkate wa brown wa kuchomwa
vipande viwili
Lunch: Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho
Dinner: Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na
kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 7
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na
yai moja la kuchemsha
Lunch: Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu
Dinner: Kula mchemsho wa kuku
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 8
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.
Breakfast: Matunda kiasi upendacho,papai ni muhimu.
Lunch: Mayai mawili ya kuchemsha na spinachi iliyocheemshwa.
Dinner: Nyama ya steki kipande kidogo kilichochomwa na kachumbari.
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 9
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kunywa glass moja ya juice na tunda la papai
Lunch: Mboga mbalimbali za majani na glass moja ya juice
Dinner: Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 10
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Sausage mbili za kuchemsha na juice glass
moja
Lunch: Mchemsho wa Samaki
Dinner: Kunywa glass moja ya mtindi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 11
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kula tango moja na juice ma matunda yoyote
isipokua parachichi.
Lunch: Kula matunda kiasi upendacho. Papai ni muhimu sana
Dinner: Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 12
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na
yai moja la kuchemsha
Lunch: Kunywa glass moja ya mtindi
Dinner: Sausage 2-3 za kuchemsha na juice glass moja
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 13
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kunywa supu ya ng’ombe, nyama vipande vitatu
tu.
Lunch: Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho
Dinner: Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na
kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
DAY 14
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
Breakfast: Kunywa mtori.
Lunch: Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu
Dinner: Kunywa glass moja ya juice na moja ya mtindi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu (sio
ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali +
mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake
MUHIMU:
Ø Kama una vidonda vya tumbo au
presha ….chek na Dr wako kwanza.
Ø Pendelea kunywa Juice ya
UKWAJU NA ASALI
Ø Unaweza rudia Diet hii mpaka
utakapo ridhika na kilo zako, ila haishauriwi kufanywa zaidi ya mwezi mmoja.
Ø Mazoezi na kunywa maji kwa
wingi ni LAZIMA
Subscribe to:
Posts (Atom)