Wednesday, May 16, 2012

Unasumbuliwa na Chunusi,mafuta mengi usoni na madoa?Tibaa hii hapa ya asili kabisaa. Unaweza pata bidhaa hizi EmC's Choice Sinza Mapambano 0654450200

 Unga wa liwa
 Unga wa Manjano
Maji ya Liwa

Maji ya Maua Waridi

 Sabuni ya liwa

Sabuni ya manjano

Maelekezo

Chukua kijiko kimoja kikubwa cha unga wa liwa na kimoja kikubwa cha unga wa manjano, weka maji ya liwa au ya mauwa waridi upate uji uji mzito.

Mara 3-4 kwa wiki Paka usoni kaa dakika 30-60 alafu nawa na maji ya uvuguvugu,jikaushe vizuri.

Epuka kupaka poda,cream kali wakati unatibu chunusi

Unaweza paka mafuta ya ubuyu au ya mawese kidogo sana endapo utahisi ngozi imekua kavu sana baada ya kunawa.

Tumia sabuni ya manjano,liwa au ukwaju asubuhi na jioni

Unaweza paka maji ya liwa au ya maua waridi usoni usiku na ukalala nayo.

Tiba hii inahitaji uvumilivu,ndani ya wiki mbili utaanza ona mabadiliko

Ndani ya wiki moja kama utaona mabadiliko ambayo sio mazuri basi unashauriwa kuacha mara moja

VYOTE VINAPATINA EmC's CHOICE SINZA MAPAMBANO 0654450200

5 comments:

  1. Nimekusoma dear, Mimi penda hii nina ngozi mbaya ya usoni full oil.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Try dia ma dia Daisy Daniel hata mara 2 kwa wiki inasaidia sana..

      Delete
  2. Asante sana Evelyn kwa kutuelimmisha,keep it up.

    ReplyDelete
  3. Safi hii. Hata kwa kusafisha tu ngozi na kuifanya nyororo. Natumia japo sina ngozi ya mafuta wala chunusi.

    ReplyDelete
  4. jamani mbona nitawatafuta mana nina kila sababu ya kuwaona, mana unene, kitambi ngozi yangu ya mafuta mpaka nilitaka kuwaona watu wa madini na nishati kumbe nyie mna tiba ya asili, nimewapendaje? ila kwa nn msiandae list ya bei za vitu venu hapa hapa kwenye hii blog kuliko kuja kukuta suprize ya bei ili mtu aje kamili, hata kama itakuwa inabadilika ila angalau picha kidogo utaijua kuwa ujibebe vipi, asanteni huo ni mtazamo wangu

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.