Mawese Body Cream ni Cream iliyoandaliwa na mafuta ya asili ya mawese, inasaidia sana kung'arisha ngozi.Kwa wale walioharibika baada ya kutumia cream kali, cream hii ya asili itasaidia kuondoa wekundu na weusi wa machoni pamoja na michirizi iliyosababishwa na cream kali. kuna kopo Kubwa Elfu 20,000/= na Kopo Dogo Elfu 10,000/= Karibu Tupo Sinza Mapambano 0654-450200