Utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu
kamaitachanganywa na mdalasini wa kawaida.
Uchunguzi
wa kina uliofanywa na wataalamu wa madawa yatokanayo
na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi
za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua
iletayo afya bora na kutibu magonjwa.
Kama
yafuatayo:
1.
Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.
Wataalamu
wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja
na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini -
na kuchua sehemu
zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo
tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili
vya asali
kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.
Katika
tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen,
madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha
chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi
kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu
yao na ongezeko
katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.
2.
kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}
Asali
ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa
kichocheo maridhawa
cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo
vuguvugu unapakwa
kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.
3.
Ukungu wa miguuni {FUNGUS}
Changanya
kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}.
Pakaa sehemu zilizoathirika
usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako
itakwisha kwenye
kipindi cha wiki moja.
4.
Maamhukizo kwenye kibofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}
Bilauri
ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na
kijiko kimoja{cha
chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya
cranberry badala ya maji
ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.
5.
Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.
Changanya
sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino. Dondoshea
kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.
6.
Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER SORES}.
Saladi
ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya
raspberry
nyekundu ni dawa
nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.
7.
Helemu {CHOLESTORAL}
Kipimo
cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa
wastani wa asilimia10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa
bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili vikubwa vya mdalasini
iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri
ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.
Madhara
yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa
mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr
Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.
Ugunduzi
wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994.
vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya
asali safi hupunguza viwango vya helemu.
8. Mafua
Mafua
yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya
waathirika kutumia
kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo
kijiko{cha chai} cha mdalasini,
mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.
9.
Ugumba {INFERTILITY}
Asali
inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa
anglao vijiko viwili
{vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.
Mdalasini
umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo
wa uzazi wa
kina mama wenye kuhitaji kuzaa.
Kiungo
hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste}
ambao hupakwa kwenye
fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.
Familia
moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha
wa kike baada
ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya
kupata mtoto hadi
waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.
10.Mchafuko
wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali
imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo
pamoja na
kichefuchefu.
Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza
maumivu yaletwayo
na vidonda vya tumbo.
11.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.
Kula
asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na
gesi/acid kwa mujibu wa
uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.
12.Ugonjwa
wa Moyo {HEART DISEASE}
Unaweza
kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye
mishipa
ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa
kifiingua kinywa.
Kula
asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha
mezani} cha mchanganyiko
huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa
mishipa ya damu
kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti
mmoja ulionyesha.
13.
Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo
la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka
kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa
dozi za mara
kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu
vilionyesha ukawaida
na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada
ya wiki chache za tiba
hii ya ajabu.
14.Kinga
ya mwili {IMMUNE SYSTEM}
Kinga
yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na
mdalasini kwa pamoja
- wataalamu wanasema.
Utafiti
wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho}na madini
pamoja na
michanganyiko
mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu,
husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.
15.Ukosefu
wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali
ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha
uhanithi.
Kutokana
na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika
baadhi ya dini
za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba
asali ina uwezo wa
kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa
na dunia ya kusini,
mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza
stamina zao za
kufanya mapenzi.
16.Kutokuchaguliwa
kwa chakula {INDIGESTION}
Vijiko
viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa
kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi
zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni
na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.
17.Umri
wa kuishi {LONGERVITY}
Unaweza
kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa
kunywa kila
siku
kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki
kitamu, weka vijiko vine{vikubwa}
vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa
robo kikombe
kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
18.Chunusi
{PIMPLES}
Changanya
vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye
chunusi.
Uwezo
wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki
mbili.
19.Kuumwa
na wadudu {kwa washawasha} wenye sumu
Pakaa
asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati
mwasho unapokuathiri.
Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.
20.Madhara
ya ngozi {INFECTIONS}
Fanya
kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.
21.Kupungua
kwa uzito
Wawezakufurahia
vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao
hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu
viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni
kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu
wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa
kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko
kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu
kabla ya kulala.
Wakati
wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache,
kuongeza hivi
vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu
kimeshahakikishwa na wataalamu
wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.
22.Saratani
{CANCER}
Utafiti
uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo
mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu saratani.
Katika
tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa saratani
ya
mifupa
na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini,
walionyesha maradufu kupata
nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee.
"Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa
mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya
kawaida".
23.Uchovu
{FATIGUE}
Upo
ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza
nishati mwilini.
Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine
wanaosumbuliwa na uchovu,
wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri
ya maji, nyunyizia
mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa
9 alasiri wakati
nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi
zake kuhusu asali na
mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
"katika wiki moja hii tajionyesha".
24.Kuvimba
Nyayo {SORE FEET}
Chua
asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada ya siku
ndefu na kazi au baada
ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi
na vaa viatu.
25.Harufu
mbaya kutoka mdomoni
Waamerica
wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu kila
asubuhi ili
kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini
mashariki, watu hula kijiko
cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu
wanaamini kwamba
uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya
itokayomdomoni.
26.Kupungua
kwa usikivu {HEARING LOSS}
Dozi
za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama
ilivyogunduliwa na Wagiriki
wa zamani.