DIET HII NI YA SIKU 7,HAKIKISHA UNAFANYA MAZOEZI LISAA LIMOJA KILA
SIKU,HURUHUSIWI KUTUMIA KILEVI,SODA WALA MAFUTA UNAPOKUWA KWENYE DIET HII.NI
LAZIMA KUNYWA MAJI LITA MBILI KWA SIKU.CHAKULA CHA USIKU MWISHO WA KULA NI SAA
MBILI. Ndani ya Siku 7 unaweza kuondoa kilo 2-4, Pima uzito kabla ya kuanza
Diet hii.
DAY 1
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali +
mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au
asali + limao au asali peke yake.
Breakfast: matunda kiasi upendacho,papai ni muhimu.
Lunch: Glass moja ya mtindi.
Dinner: Mchemsho wa samaki wenye ndizi moja na kiazi kimoja
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
DAY 2
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Kula apple moja na glass ya maziwa fresh (skimmed milk)
Lunch: Kula papai kiasi upendacho na
ma apple mawili
Dinner: Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
DAY 3
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Kula mtori
Lunch: Kunywa glass2 za juice na mboga za majani mbali mbali
Dinner: Kunywa glass moja ya mtindi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
DAY 4
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Kula tango moja na juice ma matunda yoyote isipokua
parachichi.
Lunch: Kula matunda kiasi upendachooo. Papai
ni muhimu sana
Dinner: Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
DAY 5
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Kunywa
kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha
Lunch: Kunywa glass moja ya mtindi
Dinner: Sausage 2-4 za kuchemsha na
juice glass moja
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
DAY 6
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Maziwa fresh na mkate wa brown wa kuchomwa vipande viwili
Lunch: Kula matunda na mboga za majani mbali
mbali kiasi upendacho
Dinner: Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na kachumbari
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
DAY 7
Baada tu ya kuamka:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali
+ mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au
asali peke yake
Breakfast: Kunywa kahawa au chai yenye
sukari kidogo na yai moja la kuchemsha
Lunch: Kula matunda kiasi upendacho, papai
ni muhimu
Dinner: Kula mchemsho wa kuku
Dakika 30 kabla ya kulala:
Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini
au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali +
limao au asali peke yake
MUHIMU:
Ø Kama una vidonda vya tumbo
au presha diet hii si nzuri kwa afya yako….chek na Dr wako kwanza.
Ø Pendelea kunywa Juice ya
UKWAJU NA ASALI
Ø Unaweza rudia Diet hii mpaka
utakapo ridhika na kilo zako, ila haishauriwi kufanywa zaidi ya mwezi mmoja.
Ø Mazoezi na kunywa maji kwa
wingi ni LAZIMA
lazima nifanye diet hii aisee.
ReplyDeleteFanya Lunar and plz bring us the fedbck ukimaliza...All da best
ReplyDeletemamii wewe uko kwenye diet ndo unatumia hii diet
ReplyDelete