Wednesday, May 16, 2012

Unasumbuliwa na Chunusi,mafuta mengi usoni na madoa?Tibaa hii hapa ya asili kabisaa. Unaweza pata bidhaa hizi EmC's Choice Sinza Mapambano 0654450200

 Unga wa liwa
 Unga wa Manjano
Maji ya Liwa

Maji ya Maua Waridi

 Sabuni ya liwa

Sabuni ya manjano

Maelekezo

Chukua kijiko kimoja kikubwa cha unga wa liwa na kimoja kikubwa cha unga wa manjano, weka maji ya liwa au ya mauwa waridi upate uji uji mzito.

Mara 3-4 kwa wiki Paka usoni kaa dakika 30-60 alafu nawa na maji ya uvuguvugu,jikaushe vizuri.

Epuka kupaka poda,cream kali wakati unatibu chunusi

Unaweza paka mafuta ya ubuyu au ya mawese kidogo sana endapo utahisi ngozi imekua kavu sana baada ya kunawa.

Tumia sabuni ya manjano,liwa au ukwaju asubuhi na jioni

Unaweza paka maji ya liwa au ya maua waridi usoni usiku na ukalala nayo.

Tiba hii inahitaji uvumilivu,ndani ya wiki mbili utaanza ona mabadiliko

Ndani ya wiki moja kama utaona mabadiliko ambayo sio mazuri basi unashauriwa kuacha mara moja

VYOTE VINAPATINA EmC's CHOICE SINZA MAPAMBANO 0654450200

Monday, May 14, 2012

Banana Diet

Banana wonderfully combine its pleasant taste with healthful properties. Banana is the greatest remedy for curing gastrointestinal tract diseases; moreover this exotic fruit is rich in vitamins, microelements, dietary fiber and natural sugar. As you know all these substances are essential for normal work of our organism. Despite its calorie content, banana is considered to be dietary, as it contains little fat.


Choose one of two banana dieting variants:

Banana Diet (Variant #1)

Here bananas are combined with milk or yogurt that gives the possibility to evacuate the stomach. This type of banana diet lasts for 3-4 days and helps to lose up to 10 pounds. The daily ration should include 3 bananas and as many glasses of milk. Plan your meals for the whole day and drink green tea or clear water between your food intakes.

Banana Diet (Variant #2)

Another variant of banana diet lasts longer, up to 7 days. You can eat bananas at any time during the day but no more than 10 bananas a day. Green tea and water is also allowed. Your organism would get only 1300 kilocalories, that’s why long-term dieting can lead to protein lack, thus your ration should be supplemented with pair of boiled eggs.

Wednesday, May 9, 2012

Umuhimu wa Asali na Mdalasini(Pata asali na mdalasini ambao haujachakachuliwa at EmC's Choice Sinza Mapambano 0654450200)


Utafiti mpya umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu kamaitachanganywa na mdalasini wa kawaida.

Uchunguzi wa kina uliofanywa na wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko {dawa} ya kusisimua iletayo afya bora na kutibu magonjwa.


Kama yafuatayo:

1. Ugonjwa wa Viungo/Maumivu na Uvimbe {ARTHRITIS}.

Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchukua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja {cha chai} chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.

Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.

Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, {syrup} mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vyema.

2. kukatika kwa nywele {HAIR LOSS}

Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.


3. Ukungu wa miguuni {FUNGUS}

Changanya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja.


4. Maamhukizo kwenye kibofu cha mkojo {BLADDER INFECTION}

Bilauri ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili {vya chai} vya mdalasini na kijiko kimoja{cha chai} cha asali huondoa bacteria kwenye kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa ambukizo la kibofu linakuwa sugu.


5. Maumivu ya jino {TOOTHACHE}.

Changanya sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino. Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.


6. Vidonda vitokanavyo kwa mgonjwa kulala kwa muda mrefu {CANKER SORES}.

Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye chai ya raspberry

nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya canker sores.

7. Helemu {CHOLESTORAL}

Kipimo cha helemu cha watu waliokuwa na afya nzuri {katika jaribio} kilishuka kwa wastani wa asilimia10 katika muda pungufu ya masaa mawili baada ya kunywa bilauri moja {ounce 16} yenye vijiko viwili vikubwa vya mdalasini iliyochanganywa na chai ya moto. Kinywaji hiki kutwa mara tatu kilifanya kazi nzuri ya kushusha kiwango cha helemu mwilini.

Madhara yaletwayo na vyakula vyenye mafuta yanaweza kudhbitiwa kwa matumizi ya mara kwa mara ya chai hii pamoja na chakula chako. Hii imeripotiwa na mtafiti maarufu Dr Alexander Andreyed na Eric Vogelmann.

Ugunduzi wao uliyakinishwa kwenye jarida mashuhuri la kitiba la Denmark July 1994. vilevile/ aidha uchunguzi mwingine ulibayanishwa kutoa matumizi ya kila siku ya asali safi hupunguza viwango vya helemu.


8. Mafua

Mafua yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada ya waathirika kutumia kijiko kimoja {cha mezani} cha asali vuguvugu iliyochanganywa na robo kijiko{cha chai} cha mdalasini, mchanganyiko huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.


9. Ugumba {INFERTILITY}

Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa anglao vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.

Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi wa kina mama wenye kuhitaji kuzaa.
Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.

Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.

10.Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}

Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na

kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya tumbo.


11.Esidi/Gesi-Co2. Hco3. Hcl.

Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi/acid kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi iliofanywa huko India na Japan.

12.Ugonjwa wa Moyo {HEART DISEASE}

Unaweza kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa mafuta kwenye

mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa.

Kula asali ya mkate wa ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.


13. Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}

Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.


14.Kinga ya mwili {IMMUNE SYSTEM}

Kinga yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema.

Utafiti wa kitiba unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho}na madini pamoja na

michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa pamoja na kuharibu vimelea {virus} na {bacteria}.

15.Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}

Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao za kufanya mapenzi.



16.Kutokuchaguliwa kwa chakula {INDIGESTION}

Vijiko viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo{kula chakula} huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na mdalasini unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.

17.Umri wa kuishi {LONGERVITY}

Unaweza kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti kwa kunywa kila

siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali. Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine{vikubwa} vya mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.


18.Chunusi {PIMPLES}

Changanya vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa kwenye chunusi.

Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa kawaida katika muda wa wiki mbili.


19.Kuumwa na wadudu {kwa washawasha} wenye sumu

Pakaa asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinatoweka.


20.Madhara ya ngozi {INFECTIONS}

Fanya kama ilivyoelekezwa hapo juu. Rudia kufanya hivyo hadi hali itakapokwisha.

21.Kupungua kwa uzito

Wawezakufurahia vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu kabla ya kulala.

 Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.



22.Saratani {CANCER}

Utafiti uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu saratani.
Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa kiwango kikubwa saratani ya
mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee. "Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi".anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".

23.Uchovu {FATIGUE}

Upo ushahidi mpya kwamba sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa. "katika wiki moja hii tajionyesha".

24.Kuvimba Nyayo {SORE FEET}

Chua asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu.

25.Harufu mbaya kutoka mdomoni

Waamerica wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hula kijiko cha mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni {halitosis}. Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayomdomoni.

26.Kupungua kwa usikivu {HEARING LOSS}

Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani.


Saturday, May 5, 2012

LOW CALORIE FOODS

Use the following food list to help you make the right decisions when it comes to food:

Low Calorie FoodSize (oz.)CaloriesEnergy Content
Mung Beans3.5100Low
Boiled Beans3.525Very Low
Broccoli3.520Very Low
Brussel Sprouts3.532Low
Low Fat Cottage Cheese3.580Low
White Fish3.5110Low
Low Fat Fromage Frais3.555Low-Medium
Ginger Ale3.51Low
Lentils3.550Low
Lite Mayo3.5300Low
Sugar Free Muesli3.5360Low
Noodles3.570Low
Boiled Bleached Pasta3.5110Low
Wheat Pasta3.5105Low
Boiled Chick Peas3.5115Low
Porridge3.555Low
Boiled Potatoes3.570Low
Long Grain White Rice3.5140Low
Brown Rice3.5135Low
Spaghetti3.5101Low
Tofu3.573Low
Fat Free Yogurt3.540Low

Living Healthily

Friday, May 4, 2012

FOODS TO AVOID


Weight loss only means one thing. It is actually by getting rid of those calories in your body. Most of the calories are taken from the foods and beverages you take in. So, if you try to figure out the foods which have great calorie content, and choose to avoid them, you can probably help yourself out. Here are the following foods that you need to avoid:

Alcoholic drinks- if you are fond of drinking alcohol, you better give yourself the chance to take it out in the list of your favourites. Having moderate consumption of such drinks could possibly reduce the risk of blood pressure as well as hypertension. However, too much drinking of such could already sabotage your regime for weight loss. Keep in mind that alcohol is one thing that is responsible for weight gain.

Fast foods- one of the good things that you should avoid is by eating those fast foods like burger, pizza and fries. These foods are junk ones and rich source of sodium and calories.



Meat- taking meat for your meal everyday is unhealthy. Keep in mind that such product is loaded with saturated fat and truly rich in cholesterol. Thus, you could not be only fat, but you can get those unwanted diseases such as cardiovascular illnesses and other forms.

Egg yolk- an egg yolk could actually give you 215 mg cholesterol and 80 percent of calories. However, the egg white is protein rich, so it is safe.

Ice creams- ice creams are truly restricted if you really want to lose weight. It actually contains nothing, only fat.

Potato chips- these chips are junks and contain too much salt and fat. 100 grams of these chips could actually give you 1000 to 1200 of calories. Another thing is that, salt is a rich source of sodium.

Sweets- sweet foods also need to be avoided, if you would like to lose weight. You should stop or at least limit yourself from taking in direct sugar, chocolate, nuts, doughnuts, and even pies.

Avoiding those foods mentioned above can help you burn the calories within your body and reached that size you would like to attain. One thing that you have to remember is that, you should eat 5 to 6 light weight meals in order to keep up the metabolic rate high all through the day. Otherwise, you will keep on gaining weight. This will surely result into having slow metabolism. You should also consume foods that are totally rich in nutrients. A good amount of vegetables, fruits and even whole grains need to be taken.

DEAL WITH UR KITAMBI NOW....



Kikatae Kitambiiiiiiiiii,Fanya mazoezi




















Food List for weight Loss

Diet ya siku 7


DIET HII NI YA SIKU 7,HAKIKISHA UNAFANYA MAZOEZI LISAA LIMOJA KILA SIKU,HURUHUSIWI KUTUMIA KILEVI,SODA WALA MAFUTA UNAPOKUWA KWENYE DIET HII.NI LAZIMA KUNYWA MAJI LITA MBILI KWA SIKU.CHAKULA CHA USIKU MWISHO WA KULA NI SAA MBILI. Ndani ya Siku 7 unaweza kuondoa kilo 2-4, Pima uzito kabla ya kuanza Diet hii.

DAY 1

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.

Breakfast:      matunda kiasi upendacho,papai ni muhimu.

Lunch:            Glass moja ya mtindi.

Dinner:           Mchemsho wa samaki wenye ndizi moja na kiazi kimoja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

 DAY 2

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula apple moja na glass ya maziwa fresh (skimmed milk)

Lunch:            Kula papai kiasi upendacho na ma apple mawili

Dinner:           Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 3

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula mtori

Lunch:            Kunywa glass2 za juice na mboga za majani mbali mbali

Dinner:           Kunywa glass moja ya mtindi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 4

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula tango moja na juice ma matunda yoyote isipokua parachichi.

Lunch:            Kula matunda kiasi upendachooo. Papai ni muhimu sana

Dinner:           Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 5

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:            Kunywa glass moja ya mtindi

Dinner:           Sausage 2-4 za kuchemsha na juice glass moja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 6

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Maziwa fresh na mkate wa brown wa kuchomwa vipande viwili

Lunch:            Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho

Dinner:           Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 7

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:            Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu

Dinner:           Kula mchemsho wa kuku

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake



MUHIMU:

Ø  Kama una vidonda vya tumbo au presha diet hii si nzuri kwa afya yako….chek na Dr wako kwanza.

Ø  Pendelea kunywa Juice ya UKWAJU NA ASALI

Ø  Unaweza rudia Diet hii mpaka utakapo ridhika na kilo zako, ila haishauriwi kufanywa zaidi ya mwezi mmoja.

Ø  Mazoezi na kunywa maji kwa wingi ni LAZIMA