Friday, May 4, 2012

Diet ya siku 7

DIET HII NI YA SIKU 7,HAKIKISHA UNAFANYA MAZOEZI LISAA LIMOJA KILA SIKU,HURUHUSIWI KUTUMIA KILEVI,SODA WALA MAFUTA UNAPOKUWA KWENYE DIET HII.NI LAZIMA KUNYWA MAJI LITA MBILI KWA SIKU.CHAKULA CHA USIKU MWISHO WA KULA NI SAA MBILI. Ndani ya Siku 7 unaweza kuondoa kilo 2-4, Pima uzito kabla ya kuanza Diet hii.

DAY 1

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake.

Breakfast:      matunda kiasi upendacho,papai ni muhimu.

Lunch:            Glass moja ya mtindi.

Dinner:           Mchemsho wa samaki wenye ndizi moja na kiazi kimoja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

 DAY 2

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula apple moja na glass ya maziwa fresh (skimmed milk)

Lunch:            Kula papai kiasi upendacho na ma apple mawili

Dinner:           Kuku nusu wa kuchoma na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 3

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula mtori

Lunch:            Kunywa glass2 za juice na mboga za majani mbali mbali

Dinner:           Kunywa glass moja ya mtindi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 4

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kula tango moja na juice ma matunda yoyote isipokua parachichi.

Lunch:            Kula matunda kiasi upendachooo. Papai ni muhimu sana

Dinner:           Kula mchemsho wa kuku na maji wa wingi

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 5

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:            Kunywa glass moja ya mtindi

Dinner:           Sausage 2-4 za kuchemsha na juice glass moja

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 6

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Maziwa fresh na mkate wa brown wa kuchomwa vipande viwili

Lunch:            Kula matunda na mboga za majani mbali mbali kiasi upendacho

Dinner:           Mishkaki ya samaki au kuku mitatu na kachumbari

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

DAY 7

Baada tu ya kuamka:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

Breakfast:      Kunywa kahawa au chai yenye sukari kidogo na yai moja la kuchemsha

Lunch:            Kula matunda kiasi upendacho, papai ni muhimu

Dinner:           Kula mchemsho wa kuku

Dakika 30 kabla ya kulala:

Kunywa Maji ya uvuguvugu(sio ya moto) changanya na asali + mdalasini au asali + mdalasini + limao au asali + mdalasini + apple vinager au asali + limao au asali peke yake

MUHIMU:

Ø  Kama una vidonda vya tumbo au presha diet hii si nzuri kwa afya yako….chek na Dr wako kwanza.

Ø  Pendelea kunywa Juice ya UKWAJU NA ASALI

Ø  Unaweza rudia Diet hii mpaka utakapo ridhika na kilo zako, ila haishauriwi kufanywa zaidi ya mwezi mmoja.

Ø  Mazoezi na kunywa maji kwa wingi ni LAZIMA

3 comments:

  1. lazima nifanye diet hii aisee.

    ReplyDelete
  2. Fanya Lunar and plz bring us the fedbck ukimaliza...All da best

    ReplyDelete
  3. mamii wewe uko kwenye diet ndo unatumia hii diet

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.