Monday, October 29, 2012

7 days Apple Diet






Siku ya kwanza

Asubuhi: Kunywa glass moja ya maziwa (Skimmed milk) na apple moja. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kunywa glass moja ya mtindi na robo kuku wa kuchoma (kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kula Maapple mawili. (Kunywa maji ya kutosha)





Siku ya pili

Asubuhi: Kunywa glass moja ya maziwa (Skimmed milk) na apple moja. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kunywa glass moja ya juice nzito ya matunda mchanganyiko na mboga mbalimbali za majani kiasi upendacho zilizochemshwa na ndizi moja(kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kula Maapple mawili. (Kunywa maji ya kutosha)





Siku ya tatu

Asubuhi: Kunywa kikombe kimoja cha Maji ya uvuguvugu na asali,mdalasini na appel vinager,kisha kula maapple mawili. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kula kuku nusu wa kuchoma au kuchemshwa na kachumbari yenye ndimu(kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kula Maapple mawili na papai nusu. (Kunywa maji ya kutosha)

  
 

Siku ya Nne

Asubuhi: Kunywa glass moja ya maziwa (Skimmed milk) na apple moja. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kula mboga za majani mchanganyiko kiasi upendacho zilizochemshwa na ndizi 2(kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kula Maapple mawili na papa nusu. (Kunywa maji ya kutosha)





Siku yaTano

Asubuhi: Kunywa glass moja ya maziwa (Skimmed milk) na apple moja. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kula samaki wa kuchoma (kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kula Maapple mawili na glass moja ya mtindi. (Kunywa maji ya kutosha)



Siku ya Sita

Asubuhi: Kunywa juice carrot na mayai mawili ya kuchemsha. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: kula supu ya cabage (kunywa maji ya kutosha)

Usiku:  kula apple moja na mboga za majani mchanganyiko kiasi upendacho.(Kunywa maji ya kutosha)




Siku ya Saba

Asubuhi: Kula sausage mbili za kuchemsha na silesi mbili za mkate wa kuchomwa, juice glass moja na apple moja. (Kunywa maji ya kutosha)

Mchana: Kula mchemsho wa samaki ulityo na ndizi mbili (kunywa maji ya kutosha)

Usiku: Kunywa glass moja ya mtindi. (Kunywa maji ya kutosha)

  
 

1 comment:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.